Imewekwa: March 27th, 2026
Baraza la wafanyakazi Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino leo Februari 27, 2026 limeketi kikao chake cha kikanuni kujadili na kupitisha mapendekezo ya mpango wa bajeti ya shilingi za Tanzania bilioni 57...
Imewekwa: February 26th, 2026
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino jana Februari 26, 2026 ikiwa na lengo la kuangalia...
Imewekwa: February 21st, 2026
Jumuiya ya Tawala za Mikoa (ALAT) Mkoa wa Dodoma ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Almwoni Chaula imeridhishwa na ubora wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino...