• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mpwayungu Yaibuka Kidedea Bonanza Uchaguzi Serikali Za Mitaa

Imewekwa: November 17th, 2024

Mchezo wa bonanza kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27 kati ya Mpwayungu FC na Ngh'ambako FC ambao umechezwa Novemba15, 2024 na  kumalizika kwa timu mwenyeji ya Mpwayungu kuibuka na ushindi wa goli 4 dhidi ya 1 la Ngh'ambaku.

Mchezo huo ambao ulipigwa mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mh. Janeth Mayanja ulichezwa katika kata ya Mpwayungu, Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino na timu ya Mpwayungu kujipatia zawadi ya seti mpya ya jezi na mpira mpya kwa Nambako walioshika nafasi ya pili.

Akizungumza wakati akikabidhi zawadi kwa washindi wa mchezo huo Mh. Janeth Mayanja amewaomba wadau wote wa michezo wa Mpwayungu na Chamwino kwa ujumla waliojitokeza katika bonanza hilo kujitokeza siku ya Jumatano ya tarehe 27 Novemba 2024 kupiga kura kuchagua viongozi wao wa Kijiji na kitongoji.

Mh. Mayanja aliendelea kwa kuwahasa wananchi hao kuwachagua viongozi wa kijiji na kitongoji watakao hudumia wananchi kwa upendo, na wenye busara, hekima, uadilifu na uzalendo na watakaovusha maendeleo ya vijiji vyao kwa kipindi cha miaka mitano. Aidha amezipongeza timu zote mbili kwa kuwa na mchezo mzuri na kuonyesha vipaji vyao.

Zoezi la kupiga kura uchaguzi wa Serikali za Mitaa litafanyika tarehe 27 Novemba 2024 na vituo kufunguliwa saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 10:00 kamili jioni.

Serikali za Mitaa Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Katibu Tawala Chamwino Ahimiza NGO'S Kutoa Taarifa Za Utekelezaji Wa Shughuli Zao

    June 20, 2025
  • Mwenyekiti Halmashauri Chamwino Awashukuru Waheshimiwa Madiwani Na Wakuu Wa Idara

    June 18, 2025
  • Chamwino Yapongezwa Kupata Hati Safi Kwa Hesabu Za Mwaka 2023/2024

    June 16, 2025
  • Mheshimiwa Mayanja Aongoza Zoezi La kuteketeza Ekari Mbili Za Bangi Membe

    June 15, 2025
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.