• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Chamwino District Council
Chamwino District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadlili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Fedha
      • Mipango
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo Umwagiliaji na Mazingira
      • Ardhi Maliaasili na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Agricultuer
    • Mifugo
    • Fishing
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya Elimu na Maji
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
      • Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyopitishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Sheria Ndogo
    • Mikakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Madiwani Waanika Mafanikio Ya Kata Zao Katika Robo Ya Pili Ya Mwaka Wa Fedha 2025/2026

Imewekwa: February 12th, 2026

Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, leo Februari 12, 2026 limefanya mkutano wa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2025/2026 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ambapo limepokea na kujadili taarifa za utekelezaji za Kata kwa kipindi hicho cha mwezi Oktoba – Disemba 2025.

Katika mkutano huo Madiwani wamewasilisha taarifa zilizoainisha mafanikio yaliyofikiwa na kubainisha changamoto mbalimbali zinzohitaji utatuzi katika kata zao.



Mafanikio yaliyoelezewa ni pamoja na kuimarika kwa upatikanaji wa huduma za kijamii, pamoja na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi kupitia mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri kwa vikundi vya wajasiriamali vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.

Imeelezwa kuwa katika kipindi hicho, Kata mbalimbali zimejengewa shule mpya za msingi na sekondari na ukarabati wa miundimbinu ya shule za zamani, ujenzi wa nyumba za walimu, ujenzi wa vituo vya kutolea huduma za afya, na ongezeko la watumishi katika sekta za afya, elimu na maendeleo ya jamii, waliotokana na ajira mpya zilizotolewa na serikali.

Mafanikio mengine yaliyoolezwa ni kuimarika kwa ufaulu wa wanafunzi katika shuke za msingi na sekondari, uwekaji wa miundombinu ya TEHAMA katika shule za msingi na sekondari, ujenzi wa chuo cha VETA, ujenzi wa barabara na madaraja, kuimarika kwa ulinzi na usalama, ujenzi wa minara ya simu, ongezeko katika utoaji wa mikopo ya asilimia kumi, pamoja na kuongezeka kwa usambazaji wa umeme na maji safi na salama.

Mbali na mafanikio hayo, madiwani wameeleza changamoto mbalimbali zinazokabili kata zao, ikiwa ni pamoja na kuharibika kwa miundombinu ya barabara na maji safi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na wameomba hatua mahususi zichukuliwe kutatua changamoto hizo.

Matangazo

  • MATOKEO DARASA LA SABA December 01, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023. December 14, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2023 June 11, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Baraza La Wafanyakazi Chamwino Lasuka Mkakati Kuongeza Bajeti 2026/2027

    March 27, 2026
  • RC Senyamule Awaasa Vijana Kuchangamkia Fursa Za Kiuchumi Zinazopatikana Kwenye Miradi Ya Maendeleo

    February 26, 2026
  • ALAT Dodoma - Halmashauri Nyingine Za Mkoa Wa Dodoma Zijifunze Chamwino

    February 21, 2026
  • Walimu Chamwino Wapatiwa Mafunzo Kuhush Mabadiliko Ya Tabia Ya Nchi

    February 14, 2026
  • Angalia Zote

Video

UTEKELEZAJI, UKAMILISHAJI WA MRADI WA BOOST HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
Video Zaidi

Viunganifu vya Haraka

  • Mafanikio ya Miaka Miwili ya Mhe. Rais
  • Mapokezi ya Kidato cha Kwanza 2018
  • Historia ya Halmashauri
  • Dira na Dhima
  • Kituo cha Biashara
  • Kuonana na Mwenyekiti
  • Huduma za Watumishi
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganishi

  • Tanzania
  • PRo-RALG
  • Tovuti ya Wilaya ya Bahi
  • Parliament of Tanzania
  • Dodoma
  • Utumishi

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Counter Widgets

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino

    Sanduku la posta: 1126 Dodoma

    Simu ya Mezani: 026 296 1511

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@chamwinodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino. Haki zote Zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot
  • Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • AXL777
  • AXL777
  • situs toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • yamitoto
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • toto
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • toto slot
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77